ZIARA YA NAPE NJOMBE NA MAKAMBAKO

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni jana, Juni,6, 2012 kwenye uwanja wa Polisi, mji wa Makambako, wilaya ya Njombe mkoa mpya wa Njombe.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye , akizindua tawi la CCM, Ubena Makambako, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama mkoani Njombe.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akisakata muziki na kijana Kata ya Ilembula, kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Kata hiyo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akizungumza na wazee wa Kata ya Ilembula wilaya ya Wanging'ombea akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Njombe.
Vijana wakionyesha umahiri wa kucheza sarakasi walipotumbuiza wakati wa mkutano wa CCM kwenye uwanja wa Polisi Makambako.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipiga ngoma.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA