WENGI WAMUAGA WILLY EDWARD OGUNDE
Prof. Ibrahim Lipumba kushoto
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF, Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi
Nape Nnauye, na Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Bw. Reginald
Mengi wakijumuika pamoja na viongozi wengeni, ndugu jamaa na marafiki
pamoja na waombolezaqji wengine walioudhuria katika ibada ya
kuaga mwili wa marehemu Willy Edward Ogunde aliyekuwa mhariri mkuu wa
Gazeti la Jambo leo katika viwanja vya
mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana.
Mwili wa marehemu Willy Edward Ogunde aliyekuwa mhariri mkuu wa Gazeti la Jambo leo ukiwasili katika viwanja vya
mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana.
|
Mjane
wa Marehemu Willy Edward Bi Rehema akifarijiwa na ndugu huku akilia kwa
uchungu kwa kumpoteza mume wake mpendwa marehemu Willy Edward.
Mwenyekiti wa IPP Reginald Abraham Mengi, Akimfariji Athumani Hamisi katika msiba huo
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Abraham Mengi,
Akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward
wanaofuatia nyuma yake ni Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba na
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye
Baadhi ya
waombolezaji walioudhuri katika kuuaga mwiliwa marehemu Willy Edward
wakiwa katika mstari tayari kwa kutoa heshima zao za mwisho kwa
marehemu.