
Wafanyakazi wa TBL, wakiwa ndani ya ghala hilo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Massawe Glosery, Anna Massawe akiwa ofisini kwake akitumia kompyuta kuweka kumbukumbu safi za mauzo.
Baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla hiyo wakiwapata mlo, katika Baa ya Kilimanjaro Pub, Kibaha Pwani.
0077
 |
Msimamizi wa
Mauzo wa Wateja Wakubwa wa TBL, Kanda ya Kusini, Anatory Lelo
akizungumza katika mkutano na wamiliki wa baa Kibaha, jinsi ya kuendesha
kiufanis biashara ya baa. PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA |