WACHEZAJI WAPYA SIMBA WAANZA MAZOEZI
WACHEZAJI
wapya waliosajiliwa na klabu ya soka ya Simba kwa ajili ya kuitumikia
katika ligi kuu soka Tanzania bara na michuano ya kimataifa.
Ofisa
habari wa Simba Ezekiel Kamwaga (pichani)amesema kwamba nyota hao
wameungana na wale wa zamani waluioanza mazoezi wuijki iliyopita.
Kamwaga
aliwataja nyota hao wapya ni pamoja na Paul Ngalema, Salim Kinje,
Abdallah Juma, Kigi Makassy, Mussa Mude, Patrick Mbivayanga na Ibrahim
Kinje.