VIJANA WA CCM TEMEKE WACHUKUA FOMU

Katibu mkuu wa uvccm wa wilaya ya Temeke Bwana Pius Selemani 'puka puka' akimkabidhi fomu nafasi ya uwenyekiti wa umoja huo uvccm wilaya ya temeke Athumani Nyamlani jijini Dar es salaam jana anayeshuhudia ni mwenyekiti wa vijana kata ya sandali bwana Ramadhani Mgomi.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

CATHERINE MASUMBIGANA AWA REDD'S MISS CHANG'OMBE

HOTUBA YA MHESHIMIWA PEREIRA AME SILIMA (MB), MWENYEKITI WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI (T)