UMOJA WA VYAMA VYA SIASA WAZUNGUMZA NA WAANDISHI

Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto akielezea  malengo na maendeleo ya Wizara yake kwa Waandishi wa Vyombo mbalimbali hawapo pichani huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha siasa TADEA Juma Ali Khatibu akitoa ufafanuzi wa Maswali mbalimbali yalioulizwa na Waandishi wa Habari huko katika Baraza la wawakilishi la zamani Kikwajuni Zanzibar kuhusiana na kuimarisha Amani na Utulivu Zanzibar na Kulaani matukio ya uvunjifu wa Amani yaliotokezea hivi karibuni huko Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA