TIMU YA MBEYA YAFANA AIRTEL RISING STARS
Timu ya wasichana wa Mbeya wakifurahia ushindi katika mechi za nusu fainali za Airtel Rising Star zilizofanyika leo ambapo mbeya imeifunga Ilala kwa penati mabao 3-2 |
Wachezaji wa timu ya mbeya wa michuano ya Airtel Rising Stars
wakifurahia ushindi walioupata leo baada ya kuifunga timu ya Ilala |
Timu ya wavulana mbeya ikishangia ushindi baada ya kuifunga ilala mabo 5-2 katika mchezo wa nusu fainali ya michuano yaAirtel Rising Stars |