
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Tigo, Alice Maro (kulia)
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo,
kuhusu huduma mpya mpya ya 'Tigo Internet Mega Boksi' ambapo mteja
anaweza kununua kifurushi kwa sh. 450 kwa ajili ya matumizi ya barua
pepe, Facebook, Twitter kwa kuperuzi kwenye mtandao kwa saa 24. Kushoto
ni Kwame Makundi ambaye ni Meneja Oparesheni Huduma za Intaneti wa
kampuni hiyo.
Kwame Makundi ambaye ni Meneja Oparesheni Huduma za Intaneti wa kampuni hiyo, akifafanua jambo kuhusu huduma hiyo.