TANGAZO KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU KWENYE VYUO VYA AFYA MACHI,2012

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kuwajulisha  wanafunzi wote waliohitimu  vyuo vya afya nchini mwezi Machi 2012, kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi kabla ya tarehe 30 June,2012.
Pia waombaji wengine waangalie majina yao kwenye website ya Wizara www.moh.go.tz
Imetolewa na:

Regina L. Kikuli
Kaimu Katibu Mkuu
21/06/2012

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA