TAIFA STARS IKIWASILI NCHINI MSUMBIJI

. Kocha Kim Paulsen akiwaongoza wachezaji wake baada ya kushuka kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa maputo leo nchini Msumbiji ambako Taifa Stars itakipiga na timu ya Msumbiji The Mambas Jumapili, katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la mtaifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Afrika Kusini mwaka ujao.
Kocha Kim Paulsen akiwaongoza vijana wake mazeozini Maputo, kujiandaa na mechi dhidi ya Msumbiji Jumapili
Kocha Kim Paulsen akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Shamim Nyanduga mara baada ya timu hiyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA