STIKA MPYA
Kamanda Mkuu wa Kikosi Cha Usalama Barabarani akizungumza na Waandishi
wa Habari Mara baada ya kuzindua kampeni ya kubandika stika zenye namba
za simu za vituo mbalimbali ambazo abiria watazitumia kwaajili ya kutoa
taarifa za usalama na matukio ya uvunjifu wa sheria barabarani.
Kampeni hiyo inadhaminiwa na benki ya posta (TPB)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Moshingi akibandika sitika hizo. |
Mmoja wa Madereva waliokabidhiwa Stika hizo kwaajili ya kuzibandika kwenye magari . |