RAIS KIKWETE AKIKAGUA MRADI WA KUFYATUA MATOFALI NA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MBOGA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua matofali yaliyotengenezwa kwa
mashine ya Hydrafoam kwaajili ya ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari
ya Mboga,wilayani Bagamoyo. Mashine hiyo yenye thamani ya Shilingi Milioni Sabini
70m/- imetolewa na Rais Kikwete kama msaada kwa vijana waliounda ushirika ili
kuboresha maisha yao kwa kufanya miradi
mbalimbali ya ujenzi na uzalishaji(picha na Freddy Maro)