RAIS DK.SHEIN AFUNGUA MADRASA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama  ishara ya ufunguzi wa
madrasat Nurullah Kitope Zanzibar,iliyopo Wilaya ya Kaskazini B
Unguja,Mkoa wa  Kaskazini,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar,pia Mwakilishi wa jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi,jengo
hilo limejengwa kwa ufadhili wa Abdallwa Khamas na Mohamed Saidi,
chini usimamizi wa mwakilishi wa Jimbo la Uzini CCM Mohamed Raza
.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
ALhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akifuatana  Makamo wa Pili wa Rais
wa Zanzibar,pia Mwakilishi wa jimbo la Kitope Balozi Seif Ali
Iddi,pamoja na viongozi wengine alipowasili katika Jengo la Madrasat
Nurullah Kitope,kwa ajili ya kulifungua rasmi,lililojengwa kwa
ufadhili wa Abdallwa Khamas na Mohamed Saidi, chini usimamizi  wa
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza.          [Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
 Baadhi ya wanafunzi wa Kike wa Madrasat Nurullah ya Kitope
wakiwa katika sherehe ya ufunguzi wa madrasa yao iliyojengwa kwa
kiwangi kizuri ambacho kitwafanya kuwa na arizaidi ya kusoma kwa
bidii,iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ALhaj Dk.Ali Mohamed Shein,iliyojengwa kwa ufadhili wa
Abdalla Khamas na Mohamed Saidi, chini usimamizi  wa Mwakilishi wa
Jimbo la Uzini Mohammed Raza. [Picha na Ramadhan Othman
Ikulu.]
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza,akitoa
shukurani zake na kwa niaba ya wafadhili waliojenga Madrasat
Nurullah,baada ya kufunguliwa rasmi leo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ALhaj Dk.Ali Mohamed Shein, huko
Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA