PRECESION AIRWAYS YAFIKA ZAMBIA
Mkurugenzi
Mkuu na CEO wa Precision Air, Alfonse Kioko akizungumza wakati wa
tafrija ya uzinduzi wa safari za Shirika hilo la ndege jana kutoka Dar
es Salaam hadi Lusaka Zambia kupitia Lubumbash.Hafla hiyo iliyofanyika
katika mji wa Lusaka Hoteli ya Taji Pamodz.
Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Uchukuzi, John Thomas James Mngodo
akizungumza kaatika hafla hiyo iliyofanyika katika mji wa Lusaka Hoteli
ya Taji Pamodz.
Mgeni
Rasmi, Naibu Wazizi wa Usafirishaji, Kazi, Usambazaji na mawasiliano wa
Zambia, Samuel Mukupa akizungumza jana katika tafrija maalum ya
uzinduzi wa safari za Ndege za Kampuni ya Precision Air kutoka Dar es
Salaam kwenda Lusaka kupitia Lubumbashi. Mukupa alisema mbali ya
kuzidisha mahusionao baina ya Tanzania na Zambia lakini pia itawasaidia
sana wafanya biashara wa Zambia katika safari zao za kibiashara
Tanzania.
Wageni mbalimbali wakifuatilia tafrija
Meneja
Mkazi wa Afrika ya Kati wa Kampuni ya Precision Air, Emmanuel Mathias
Ng'andu akiwa na Meneja Maweasiliano wa Kampuni hiyo Anneth Nkini wakati
wa tafrija hiyo.
Viongozi wakishangilia jambo.
Wageni mbalimbali wakiwepo na wafanyakazi wa Precision Air wakifuatilia matukio.
CEO wa Precision Air, Alfonse Kioko (kulia) akiwaongoza wafanyakazi wake kucheza EDUDHA
Mkurugenzi
wa Masoko, Patriki Ndekana , (kushoto), Meneja Mauzo, Tuntufye
Mwambusi, Hilda Lema, Mariam Ismail na Meneja Mkazi wa Afrika ya Kati wa
Kampuni ya Precision Air, Emmanuel Mathias Ng'andu wakipamba moto
katika EDUDHA.
Kocha Msaidizi wa Mabingwa wa Afrika, Timu ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo' Honor Janza nae alikuwepo.