Redds Miss Chang’ombe 2012, Catherine Masumbigana 21, (katikati) akipunga mkono mara baada ya kusimikwa rasmi kuwa mshindi wa taji hilo. Kulia ni mmshindi wa pili, Jesca Haule (18) na Mshindi wa tatu Zulfa Bundala. Masumbigana aliwashinda warembo wengine 13 katika shindano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Quality Center jijini Dar es Salaam Juni 10, 2012. Tano bora ya Miss Chang’ombe 2012 ambao wote wamepata tiketi ya kushiriki shindano la Miss Temeke 2012 wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka Kushoto ni Zulfa Bundala (21), Jesca Haule (18), Catherine Masumbigana (21), Miriam Nkisigwa (20) na Flora Kazungu. Warembo wakicheza show maalum ya ufunguzi Vazi la ufukwenu, Kutoka kulia ni Restituta Faustiney, Wensley Mabula na Clara Diu. Warembo Flora Mayasa (kulia) Catherine Masumbigana (katikati) na Elizabeth Mushi wakiwinda point na vazi la ufukweni. Mkali wa Bongo Fleva Nassib Abdul 'Diamond' na vija...
Mara nyingi wengi wetu tumekuwa katika mahusiano na wapenzi wetu lakini hali sio kama ile ya awali wakati mnaanza mapenzi yenu. Wanawake wengi wanalalamika kuwa hawaoni upendo ule waliouzoea zamani wakati mapenzi yanaanza. Hata wanaume wengine wanalalamika pia kuwa penzi limeteremka kiwango baina yao . Mara zote hushuka huku kwa ukaribu (intimacy) hakupangiliwi au kutazamiwa bali huja taratibu pasipo wapenzi kutambua, mara lugha hubadilika, muda wakuwa pamoja hupungua, mambo huanza kufanywa kwa mazoea, vilivyo zoeleka kufanyika havionekani tena na taratibu hali hii ikikomaa huathiri hata tendo la ndoa. Katika hatua hii, wapenzi huanza kuchokana na kutotamaniana, hapa ndio kwenye upenyo wa mmoja au wote kuwaza njia mbadala. Wengi walioachana au kutalikiana nao walipitia njia hii pia. Ili kuepuka yote haya, haunabudi kujifunza njia za kuwasha moto wa upendo kila wakati na kuongeza ukaribu (intimacy) kati yenu. Njia za kukusaidia 1. ...
TAWI LA WASHINGTON, DC MARYLAND NA VIRGINIA Tunapenda kuwatangazia wana DMV wote kwa wale ambao bado hawajaweza kujiandikisha na wanapenda kujiunga na Chama Cha Mapinduzi tawi la DMV, tafadhali tuma jina, anuani na simu yako kwa email;.............. pia kwa maelezo zaidi wasiliana na vingozi wa Tawi Email address:ccmwashdc@gmail.com 1. Loveness Mamuya – Mwenyekiti…….. 240-423-0437 2. Yacob Kinyemi – Katibu ……………………. 202-629-7841 3. Lemi Mhando …………………………………..202-361-1059 4. Benjamini Mwaipaja …………………………….-240-423-6737 5. Given Kasanju…………………………………………443-433-6968 6. Alawi Omar…………………………………………..301-339-3765 Taratibu za kugawa kadi na sherehe za ufunguzi wa Tawi zitafanyika rasmi hivi karibuni, mwana CCM ukipata taarifa hizi mfikishie mwanachama mwingine Kidumu Chama Cha mapinduzi, CCM Oyee! Uongozi wa Tawi CCM DMV.