
1.2 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye akimhoji mambo mbalimbali mtaalamu wa ujenzi wa kampuni ya China
ya Sin Hydro, Zhang Wen Ge, alipokagua ujenzi wa barabara ya Dodoma-
Iringa, katika eneo linalojengwa na kampuni hiyo lenye kilometa 95 kati
ya Migoli na Iringa, alipopita katika barabara hiyo akiwa njiani kwenda
mjini Iringa katika ziara ya kikazi, juzi. (Picha na Bashir Nkoromo)