MSAADA TUTANI WADAU
- Get link
- X
- Other Apps
wapendwa nina swali ktk kitabu cha 1 samwel 28:8-20 saul anakwenda kumuuliza pepo la kuagua habari za Mungu, na yule mwanamke anapandisha anakuja samwel ambaye alishakufa. je Mungu anaweza kutumia pepo kuzungumza hbr zake? na mtu aliyekufa anaweza kutokea tena kwa sauti yake
- Get link
- X
- Other Apps