MBEYA WATINGA FAINALI MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS

 mchezaji namba 7 wa timu ya mbeya stanley Kadumu akipokea zawadi ya
mpira kutoka kwa msimamizi wa michezo ya AirtelRising Stars kutoka
DRFA Daudi Kanuti mara baada ya kufunga mabao 3 katika mechi ya nusu
fainali thidi ya timu ya Ilala
Timu ya wavulana mbeya ikishangia ushindi baada ya kuifunga ilala mabo
5-2 katika mchezo wa nusu fainali ya michuano yaAirtel Rising Stars




Timu ya wasichana wa Mbeya wakifurahia ushindi katika mechi za nusu
fainali za Airtel Rising Star zilizofanyika leo ambapo mbeya imeifunga
Ilala kwa penati mabao 3-2

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA