MATOKEO YA PICHA BUNGENI
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda (kulia)
akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kuteuliwa Anna Abdallah (kushoto) leo mjini Dodoma katika viwanja vya Bunge.
Picha na Tiganya Vincent-Dodoma
Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Aggrey Mwanrijana mjini Dodoma katika viwanja vya Bunge.