MAKAMU WA RAIS AZINDUA MRADI WA KUBORESHA ELIMU MKOANI MTWARA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kushoto kwake Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kushoto ni Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt, (wa pili kushoto) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa, (kulia) ni  Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program, mradi uliofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Katikati ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa (kulia) ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, Majaliwa Kassim Majaliwa.Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA