LEO MCHANA
Mchana
huu wajanja wa mjini wanapata menyu safi katika mgahawa wa City Sports
Lounge uliopo jengo la kazi eneo la chini ulipokuwa ubalozi wa Uingereza
zamani je?, wewe unapata wapi menyu yako ya mchana huu, hebu jongea
City Sports Lounge ujionee na kupata msosi bomba wa mchana lakini pia
kwa mpira na burudani ya muziki ndiyo penyewe kwani kuna luninga saba
katika kila eneo la mgahawa huo na kukupa burudani kwa kila mkao
utakaokaa.
Hii ndiyo Mandhali ya City Sports Lounge mchana huu kama inavyoonekana watu wakijipatia menyu yao ya mchana.