Katibu
tawala wa mkoa wa Singida, Liana Hassan (wapili kulia) akionyesha
ramani ya jengo la utawala la hospitali ya rufani ya Singida ambayo
ujenzi unaendelea. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida, Jerome Alute
Nape na ujumbe wake wakikagua majengo ya hospitali hiyo
Nape akionyeshwa ndani ya moja ya majengo ya Hospitali hiyo
KATIBU
Tawala wa mkoa wa Singida, Liana Hassan (kushoto) akimpa maelezo Nape
kuhusu ujenzi wa hospitali hiyo ulipofika. Kulia ni Alute
Nape akimaliza kukagua majnego ya hospitali hiyo