KAMATI YA MISS TANZANIA YAZUNGUMZA NA WAHIRIKI WA SHINDANO LA MISS CHANG'OMBE

Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga akizungumza
na warembo wanaoshiriki shindano la kumtafuta malkia wa kitongoji cha
Chang'ombe yaani Miss Chang'ombe linalotarajiwa kufanyika jumamosi ijayo
kwenye ukumbi wa Quality Center jijini Dar es salaam, kamati ya Miss
Tanzania imetembelea mazoezi ya warembo hao leo jioni katika viwanja vya
TCC Sigara Chang'ombe.

Warembo wa Miss Changombe wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.


Warembo wa Miss Changombe wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.

Warembi wakiaza rasmi mazoezi yao mara baada ya mazungumzo na kamati ya Miss Tanzania.

Kutoka kushoto ni Hashim Lundenga, Bosco Majaliwa na baadhi ya warembo waliohudhuria katika mazoezi hayo.
