WANAFUNZI WAKISHIKIRIA MABANGO KUONESHA WANAPINGA UVUTAJI WA SIGARA
Wanafunzi
wakimkimbilia mzungu kumuonesha mabango yanayokataza kuvuta tumbaku
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kukataza kuvuta Tumbaku Duniani leo
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa jULIUS nYERERE, Dar es Salaam.
ASkiwa hoi baada ya purukushani hiyo. PICHA NA KHAMIS MUSSA
Wakiendelea kumuandama mzungu huyo ambaye hata aliendelea kuvuta sigara bila hofu |
Mzungu akiwa amezingirwa na matango kila mahala |
Hatimaye ameamua kusalimu amri na kuanza kusoma tangazo |