Wachezaji
wa Brazil wakilinda ngome yao kwa kuwadhibiti timu ya US kwenye mechi
hiyo ya kirafiki ambapo timu ya Brazil waliweza kuwabamiza US bao 4-1
nyumbani kwao.
US.
hoi kwa Brazil baada ya kubamizwa bao nne bao la kwanza lilifungwa na
Neymar, na lapili na Thiago mnamo wa dakika ya 11, kipindi cha kwanza.
bao la US lilifungwa na Hercules Gomes dakika ya 44 kipindi chakwanza
hadi mapumziko Brazil 2 US 1 kwenye mchezo wa kirafiki. (Picha maelezo na swahilivilla.blog spot.com)
Forward
wa United States Landon Donovan, akipandisha majeshi juu huku
alidhibitiwa na Brazil defender Marcelo wa Brazi katika mpambano wa
kirafiki.