TATIZO LA MADAWATI IRAMBA MAGHARIBI LINAELEKEA UKINGONI ,MH.MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU(MBUNGE WA IRAMBA MAGHARIBI)AKIKABIDHI MSAADA WAKE WA MADAWATI KATIKA KATA 17 ZA JIMBO ZIMA,MADAWATI 100 KILA KATA YAANI KWA KWELI NIMEMPONGEZA SANA ZAIDI YA SANA WANANCHI WA IRAMBA WAMEAHIDI NAO KUCHANGIA MADAWATI 400 HILI KUMUUNGA MKONO KATIKA KUTATUA TATIZO SUGU LA MADAWATI KATIKA JIMBO LAKE LA IRAMBA ...VIVA MWIGULU,IRAMBA YA KWAKO DAIMA.UNAFANYA VYEMA KWA KWELI WANAOKUBALI WAKUBALI WANAOKATAA WAKATAE..SONGELA ZIGI ZIGI MBUNGE WETU.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA