NUKUU YA ZITTO KABWE

''Vurugu zinazoendelea Zanzibar zinasononesha sana. Kitendo cha kuchoma moto kanisa ni uchokozi wa dhahiri kwa lengo la kuimarisha zaidi chuki na kuondoa mjadala katika suala la Muungano kwenda suala la Dini. Wanaosali kanisani ni pamoja na wananchi wa kawaida kabisa ambao hata hawahusiki na uamuzi kuhusu Muungano. Kwa nini kuchoma Kanisa nyumba ya Ibada. Polisi pia kutumia nguvu ya mabomu hakuzimi harakati. Serikali 'must engage' UAMSHO. Kama madai yao ni 'genuine' yajadiliwe mezani. Vurugu za aina yeyote zilaaniwe kwa nguvu zote. Tuzungumze. Tujadiliane. Ikibidi tukubaliane kutokubaliana''.

Popular posts from this blog

MAMBO 6 YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO

Mwanajeshi Aliyepiga Picha na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Kwenye Mkutano wa Hadhara Akamatwa

MATAJIRI WATANO WANAOONGOZA TANZANIA