Leo Mh. John Shibuda ataongea na Times Fm Live jioni kwenye mida ya saa kumi kuhusiana na maneno yake aliyoyasema kwamba 2015 atagombea urais na anataka Mh. Jakaya Kikwete kuwa campaign manager.
Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ( RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA )