AWAMU YA PILI YA UTANDAZAJI WA BOMBA LA UMEME WA GESI KUTOKA UBUNGO HADI MWENGE KUMALIZIKA MWEZI UJAO MWISHONI
Akizungumza na waandishi wa habari katika mahojiano jijini Dar es salaam Afisa utafiti katika kurugenzi ya masoko na uwekezaji wa shirika la maendeleo la petroli ( TPDC ) Emmanuel Gilbert amesema kwamba mradi huo umetoa matolea yatakayowezesha pia upatikanaji wa nishati chuo cha maji Rwegulila.
Maeneo mengine yanayoweza kunufaika ni pamoja na Sinza, Lugalo Jeshini, Mlimani city, chuo kikuu cha ardhi,chuo kikuu cha Dar es salaam.