AMANI ZANZIBAR YAREJEA.
Jeshi la polisi waadhimia kurejesha amani Zanzibar. IGP Mwema na Mh. Aboud wa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamejipanga vilivyo kuhakikisha usalama na amani unapatikana visiwani humo.Mohamed Aboud pamoja na viongozi wa dini jana walitembelea maeneo yaliyoshambuliwa katika vurugu zilizotokea visiwani humo.Na wanaotuhumiwa kwa vurugu hizo wamefikishwa Mahakamani jana.