Posts

VETA KIPAWA KULIPA ADA KUPITIA M-PESA

Image
Mkuu wa chuo cha VETA kipawa, Jijini Dar es Salaam, Eng. Lucius Luteganya, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ulipaji ada kwa wanafunzi wa chuo hicho kupitia huduma ya M – Pesa. Kufuatia ushirikiano kati ya chuo hicho na Vodacom Tanzania. Kushoto ni Mkuu wa ukuzaji biashara – M - PESA Jackson Kiswaga. Meneja mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa, akimuelezea jambo Mkuu wa Chuo cha Veta Kipawa, Eng. Lucius Lutenganya wakati wa uzinduzi wa ulipaji ada kupitia huduma ya M – pesa kwa wanafunzi wa chuo hicho. Katikati ni Mkuu wa Ukuzaji Biashara – M - PESA, Jackson Kiswaga. Wanachuo wa Chuo cha VETA Kipawa Dar es Salaam kuanzia sasa wataanza kulipa ada kupitia huduma ya M-Pesa baada ya chuo hicho kufikia makubaliano na Kampuni ya Simu za mikononi ya Vodacom kuwezesha huduma hiyo. Chuo hicho ni miongoni mwa Shule na Vyuo vingine kadhaa ambavyo vipo katika hatua za mwisho za mazungumzo na Vodacom ya kuviwezesha kutumia hudum...

ALIPOZIKWA MAREHEMU SAJUKI.

Image
Rais Kikwete ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya Sajuki leo january 4 2013 Kisutu Dar es salaam. . . Hawa ni miongoni mwa waliokua wanasubiri kuupokea mwili, kwa mbali anaonekana Profesa Jay. . Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji na Mwimbaji Linex ni miogoni mwa wasanii waliohudhuria, wengine ni pamoja na Mwana Fa, Profesa J, Mzee Kitime na King Kikii. . Mwana Fa na Profesa J. King Kikii Mwana Fa na Profesa J. Msanii Z Anto akiswali juu ya kaburi la Marehemu Sajuki. Hapa ndipo alipozikwa Marehemu Sajuki. Zola D kwa mbali. Hili gazeti walilokua wanasoma kulikua na habari kuhusu kifo cha Sajuki. . . Mwili ulipokua unaingizwa.

DEMBA BA ATAMBULISHWA RASMI CHELSEA.

Image

KABLA YA MAZISHI YA MAREHEMU ''SAJUKI'' HII LEO

Image
Mkurugenzi wa Maendeleo na Utamaduni wa Wizara ya Habari Bw. Herman Mwasoka (mwenye suti nyeusi) akimfariji Baba mzazi wa Marehemu Sajuki Mzee Juma Kilowoko alipofika nyumbani kwa marehemu kuhani msiba huo Tabata Bima jijini Dar. Mkurugenzi wa Utamaduni na Maendeleo wa Wizara ya Habari Bw. Herman Mwasoka akitia saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Sajuki jijini Dar leo. Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fisso akitia saini kitabu cha maombolezo ya Msiba wa Sajuki. Msanii mkongwe katika tasnia ya muziki wa Dansi na Rhumba Kikumba Mwanza Mpango almaarufu kama King Kiki akitia saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Marehemu Sajuki Tabata Bima jijini Dar leo. Mzee King Kiki akiteta jambo na Mkurugenzi wa Utamaduni na Maendeleo wa Wizara ya Habari Bw. Herman Mwasoka (katikati) nyumbani kwa marehemu Sajuki jijini Dar leo. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fisso Wasanii mbalimbal...